• HABARI MPYA

  Monday, November 23, 2020

  JOTA NA FIRMINO WAFUNGA LIVERPOOL YAWAPIGA LEICESTER 3-0


  Wachezaji wa Liverpool wakipongezana kwa udhindi wa 3-0 dhidi ya Leicester City, mabao yaJonny Evans' aliyejifunga dakika ya 21, Diogo Jota dakikaya 41 na Roberto Firmino dakika ya 86 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield. Liverpool inafikisha pointi 20 baada ya ushindi huo na kusogea nafasi ya pili, sasa ikizidiwa wastani wa mabao tu na vibara, Tottenham Hotspur
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JOTA NA FIRMINO WAFUNGA LIVERPOOL YAWAPIGA LEICESTER 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top