• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 16, 2020

  SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA AFRICAN SPORTS YA TANGA AZAM COMPLEX


  Kiungo nyota wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa African Sports ya Tanga katika mchezo wa kirafiki uliomalizika kwa sare ya bila kufungana leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA AFRICAN SPORTS YA TANGA AZAM COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top