• HABARI MPYA

  Wednesday, November 18, 2020

  TORRES APIGA HAT TRICK HISPANIA YAICHAPA UJERUMANI 6-0


  Ferran Torres (katikati) akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 33, 55 na 71 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Ujerumani kwenye mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Olimpico de Sevilla na kujihakikishia kuingia hatua ya mwisho ya michuano hiyo baada ya kukusanya pointi 11, mbili zaidi ya wapinzani hao kufuatia timu zote kucheza mechi sita. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Alvaro Morata dakika ya 17, Rodri dakika ya 38 na Mikel Oyarzabal dakika ya 89
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TORRES APIGA HAT TRICK HISPANIA YAICHAPA UJERUMANI 6-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top