• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 28, 2020

  SIMBA SC WAKIJIFUA MJINI JOS KABLA YA KUWAVAA PLATEAU UNITED KESHO KATIKA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  Beki wa Simba SC, Josh Onyango akiwa mazoezini leo mjini Jos, Nigeria wakijiandaa na mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United kesho 

  Na hapa ni wachezaji wa Simba SC wakipata chakula kuelekea mchezo dhidi ya wenyeji, Plateau United kesho   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAKIJIFUA MJINI JOS KABLA YA KUWAVAA PLATEAU UNITED KESHO KATIKA LIGI YA MABINGWA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top