• HABARI MPYA

  Thursday, November 19, 2020

  SIMBA SC WATOA JEZI NYINGINE MPYA TATU MAALUM KWA AJILI YA MICHUANO YA AFRIKA PEKEE

   

  KIUNGO Mghana wa Simba SC, Bernard Morrison akionyesha jezi mpya ya tatu ya klabu yake kwa ajili  ya michuano ya Afrika inayotarajiwa kuanza wiki ijayo, Wekundu wa Msimbazi wakifungua dimba na Plateau United nchini Nigeria katika Ligi ya Mabingwa

  Bernard Morrison akionyesha jezi mpya ya ugenini ya Simba SC kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa 

  Kiungo mzawa, Hassan Dilunga akionyesha jezi mpya ya nyumbani ya Simba SC kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WATOA JEZI NYINGINE MPYA TATU MAALUM KWA AJILI YA MICHUANO YA AFRIKA PEKEE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top