• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 29, 2020

  TYSON AREJEA ULINGONI NA KUMSHUGHULIKIA ROY JONES JR


  Mike Tyson (kushoto) akimsukumia konde Roy Jones Jr katika pambano la raundi nane la kukumbushia enzi zao asubuhi ya leo ukumbi wa Staples Center Jijini Los Angeles ambalo majaji walitoa maamuzi ni droo. Pamoja na hayo, mashabiki waliwakosoa majaji, wakidai Mike Tyson aliyekuwa anapigana baada ya miaka 15 ameshinda. Baada ya pambano hilo na Jones Jr mwenye umri wa miaka 51, Tyson mwenye miaka 54 amesema ataendelea kupigana 'mapambano ya kirafiki' kama hayo
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TYSON AREJEA ULINGONI NA KUMSHUGHULIKIA ROY JONES JR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top