• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 30, 2020

  CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA TOTTENHAM STAMFORD BRIDGE


  Vita ya Wafaransa; Tanguy Ndombele wa Tottenham Hotspur akimtoka kiungo mwenzake Mfaransa, N'Golo Kante wa Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Stamford Bridge, London timu zao zikitoka sare ya bila kufungana 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA TOTTENHAM STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top