• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 21, 2020

  KWA ULINZI HUU, HAIKUWA AJABU CHIRWA HAKUFUNGA LEO AZAM IKICHAPWA 1-0 NA KMC UHURU

   

  Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akiwa chini ya ulinzi wa beki Ismail Gambo na kipa Juma Kaseja wa KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. KMC imeshinda 1-0 bao pekee la Reliant Lusajo dakika ya 57.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KWA ULINZI HUU, HAIKUWA AJABU CHIRWA HAKUFUNGA LEO AZAM IKICHAPWA 1-0 NA KMC UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top