Vincenzo Grifo (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Italia mabao mawili dakika za 14 na 75 kwa penalti katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Estonia, mabao mengine yakifungwa na Federico Bernardeschi dakika ya 27 na Riccardo Orsolini kwa penalti pia dakika ya 86 kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Artemio Franchi Jijini Firenze PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Dog Runs onto Field During Chile vs. Venezuela 2022 Women's International Friendly
-
Saturday's international friendly match between th
Dakika 43 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni