• HABARI MPYA

  Friday, November 27, 2020

  SIMBA SC WALIVYOWASILI JOS LEO TAYARI KUWAVAA WENYEJI, PLATEAU UNITED JUMAPILI LIGI YA MABINGWA

   
  Washambuliaji tegemeo wa Simba SC, Nahodha John Bocco (kulia) na Mnyarwanda Meddie Kagere (kushoto) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Jos, Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United Jumapili jioni

  Wachezaji wa Simba SC wakiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili Jos, Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United Jumapili jioni

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOWASILI JOS LEO TAYARI KUWAVAA WENYEJI, PLATEAU UNITED JUMAPILI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top