• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 13, 2020

  TONOMBE MUKOKO MCHEZAJI BORA, MRUNDI KAZE KOCHA BORA WA OKTOBA LIGI KUU TANZANIA BARA


  KIUNGO wa Yanga SC ya Dar es Salaam, Mukoko Tonombe raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),  amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Oktoba msimu wa 2020/21.


  NAYE Mrundi, Cedric Kaze wa Yanga SC pia, amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Oktoba msimu wa 2020/21 Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TONOMBE MUKOKO MCHEZAJI BORA, MRUNDI KAZE KOCHA BORA WA OKTOBA LIGI KUU TANZANIA BARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top