• HABARI MPYA

  Thursday, November 26, 2020

  MAN CITY yAICHAPA OLYMPIAKOS 1-0 PIRAEUS LIGI YA MABINGWA


  Phil Foden akishangilia na Raheem Sterling baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 36 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Olympiacos kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa usiku wa jana Georgios Karaiskaki Jijini Piraeus
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY yAICHAPA OLYMPIAKOS 1-0 PIRAEUS LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top