• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 18, 2020

  GIROUD APIGA MBILI UFARANSA YAICHAPA SWEDEN 2-0


  Mshambuliaji Olivier Giroud akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Ufaransa mabao mawili dakika za 16 na 59 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stade de France huko,Saint-Denis na kufikisha jumla ya mabao 44 aliyoifungia timu yake hiyo ya taifa sasa akizidiwa saba tu na anayeongoza, Thierry Henry. Mabao mengine ya Ufaransa yalifungwa na Benjamin Pavard dakika ya 36 na Kingsley Coman dakika ya 90 na ushei, wakati ya Sweden yalifungwa na Viktor Claesson dakika ya nne na Robin Quaison dakika ya 88
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GIROUD APIGA MBILI UFARANSA YAICHAPA SWEDEN 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top