• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 14, 2020

  TANZANIA YATWAA KOMBE LA COSAFA LA MICHUANO YA WASICHANA U - 17 AFRIKA KUSINI

  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wasichana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 wakifurahia na Kombe lao la ubingwa wa michuano ya COSAFA baada ya kuwafunga Zambia kwa mikwaju ya penati 3-4 kufuatia sare ya 1-1 huko Nelson Mandela Bay, Afrika Kusini

  Itakumbukwa mwaka jana timu ya U20 ya wanawake The Tanzanite ilialikwa kwenye mashindano haya hukohuko Afrika Kusini na kubeba ubingwa pia

   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANIA YATWAA KOMBE LA COSAFA LA MICHUANO YA WASICHANA U - 17 AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top