• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 29, 2020

  CAVANI APIGA MBILI MAN UNITED IKITOKA NYUMA NA KUSHINDA 3-2


  Edinson Cavani akishangilia baada ya kutokea benchi na kufunga mabao mawili ndani ya dakika 15 za mwisho, Manchester United ikitoka nyuma kwa 2-0 na kushinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. Mary's. Cavani aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Mason Greenwood alifunga mabao yake dakika za 74 na 90 na ushei baada ya Bruno Fernandes kufunga la kwanza dakika ya 59 kufuatia Southampton kutangulia kwa mabao ya Jan Bednarek dakika ya 23 na James Ward-Prowse dakika ya 33
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CAVANI APIGA MBILI MAN UNITED IKITOKA NYUMA NA KUSHINDA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top