• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 30, 2020

  ARSENAL WAPIGWA MECHI YA TANO MSIMU HUU, YALALA 2-1 KWA WOLVES


  TIMU ya Arsenal jana imechapwa mabao 2-1 na Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Mabao ya Wolves yalifungwa na Pedro Neto dakika ya 27 na Daniel Podence dakika ya 42, wakati la Wolves lilifungwa na Gabriel Magalhaes dakika ya 30 hicho kikiwa kipigo cha tano kwa Washika Bunduki wa London katika mechi 10 walizocheza msimu huu kwenye ligi 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WAPIGWA MECHI YA TANO MSIMU HUU, YALALA 2-1 KWA WOLVES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top