• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 20, 2020

  SIMBA SC WALIVYOWASILI ARUSHA TAYARI KUWAKABILI COASTAL UNION KESHO SHEIKH AMRI ABEID

  Kiungo wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama akiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili Kilimanjaro kabla ya kupanda basi kwenda Arusha jana kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union kesho Uwanja wa Sheikh Amri Abeid 

  Beki wa Simba SC, Muivory Coast, Serge wawa baada ya kuwasili Arusha jana kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union kesho Uwanja wa Sheikh Amri Abeid


  Kipa Aishi Manula akiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili Kilimanjaro kabla ya kupanda basi kwenda Arusha 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOWASILI ARUSHA TAYARI KUWAKABILI COASTAL UNION KESHO SHEIKH AMRI ABEID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top