• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 23, 2020

  PEPE ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU ARSENAL YATOKA 0-0 NA LEEDS


  Nicolas Pepe wa Arsenal akisikitika baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 52 kufuatia kumpiga kichwa Ezgjan Alioski wa Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England timu hizo zikitoka sare ya 0-0 jana Uwanja wa Elland Road
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PEPE ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU ARSENAL YATOKA 0-0 NA LEEDS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top