• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 19, 2020

  YANGA SC YAMSIMAMISHA KAIMU KATIBU MKUU WAKE, WAKILI MSOMI KWA TUHUMA ZISIZOJULIKANA

   

  KLABU ya Yanga SC imemsimamisha Kaimu Katibu Mkuu wake, Wakili Simon Patrick, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama kwa muda usiojulikana na kwa tuhuma ambazo hazijawekwa wazi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAMSIMAMISHA KAIMU KATIBU MKUU WAKE, WAKILI MSOMI KWA TUHUMA ZISIZOJULIKANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top