• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 08, 2020

  CHELSEA RAHA TUPU ENGLAND, YAWATANDIKA SHEFFIELD UNITED 4-1


  Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Sheffield United usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao ya The Blues yalifungwa na Tammy Abraham dakika ya 23, Ben Chilwell dakika ya 34, Thiago Silva dakika ya 77 na Timo Werner dakika ya 80, wakati la Sheffield United lilifungwa na David McGoldrick dakika ya tisa
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA RAHA TUPU ENGLAND, YAWATANDIKA SHEFFIELD UNITED 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top