• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 19, 2020

  ITALIA YAIFUMUA BOSNIA-HERZEGOVINA 2-0 SARAJEVO LIGI YA MATAIFA ULAYA


  Domenico Bernardi (kushoto) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Italia bao la pili dakika ya 68 kufuatia Andrea Belotti kufunga la kwanza dakika ya 22 katika ushindi 2-0 dhidi ya wenyeji, Bosnia-Herzegovina usiku wa jana Uwanja wa Grbavica Jijini Sarajevo kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa ya Ulaya
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ITALIA YAIFUMUA BOSNIA-HERZEGOVINA 2-0 SARAJEVO LIGI YA MATAIFA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top