• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 28, 2020

  VAR YAKATAA MABAO YA SALAH, MANE LIVERPOOL SARE 1-1 NA BRIGHTON


  Kiungo Pascal Gross akiifungia Brighton & Hove Albion bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 90 na ushei katika sare ya 1-1 na Liverpool iliyotangulia kwa bao la Diogo Jota dakika ya 60 Uwanja wa The Amex jana. 
  Katika mchezo huo, Neal Maupay wa Brighton alikosa penalti dakika ya 20 ambayo ilienda juu ya lango, wakati Mohamed Salah na Sadio Mane wote walifunga mabao yaliyokataliwa kwa msaada wa VAR PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VAR YAKATAA MABAO YA SALAH, MANE LIVERPOOL SARE 1-1 NA BRIGHTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top