• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 12, 2020

  KAMATI YA TAIFA STARS YAAHIDI KUWAPA DOLA 15,000 U-17 YA WASICHANA IKITWAA UBINGWA COSAFA

   

  KAMATI ya Ushindi ya Taifa Stars ipo chini ya Mwenyekiti, Ghalib Said Mohammed, mmiliki wa Kampuni ya GSM, Makamu Mwenyekiti Salim Abdallah 'Try Again' na Katibu wake ni Mhandisi Hersi Said, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa GSM.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAMATI YA TAIFA STARS YAAHIDI KUWAPA DOLA 15,000 U-17 YA WASICHANA IKITWAA UBINGWA COSAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top