• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 14, 2020

  CAVANI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA URUGUAY YAICHAPA COLOMBIA 3-0


  Mshambuliaji wa Manchester United, Edinson Cavani akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Uruguay bao la kwanza dakika ya tano katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Colombia kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Qatar 2022 kwa Amerika Kusini usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Metropolitano Roberto Melendez Jijini Barranquilla. Mabao mengine ya Uruguay yalifungwa na Luis Suarez dakika ya 54 kwa penalti na Nahitan Nandez dakika ya 73
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CAVANI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA URUGUAY YAICHAPA COLOMBIA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top