• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 26, 2020

  REAL YAICHAPA INTER MILAN 2-0 NA KUITUPA NJE LIGI YA MABINGWA


  Real Madrid imeichapa Inter Milan 2-0, mabao ya Eden Hazard kwa penalti dakika ya saba na Rodrygo dakika ya 59 katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Giuseppe Meazza, Jijini Milan. Kwa matokeo hayo, Real Madrid inafikisha pointi saba, ikizidiwa moja na vinara, Borussia Monchengladbach, wakati Inter Milan inaendelea kushika mkia na pointi zake mbili, ikizidiwa mbili na Shakhtar Donetsk baada ya wote kucheza mechi nne. Safari ya Inter imefikia tamati hatua ya makundi
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL YAICHAPA INTER MILAN 2-0 NA KUITUPA NJE LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top