• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 15, 2020

  KANTE AIFUNGIA BAO PEKEE UFARANSA YAILAZA URENO 1-0


  N'Golo Kante akipongezwa baada ya kuifungia bao pekee Ufaransa dakika ya 53 ikiwalaza wenyeji, Ureno 1-0, kwenye mchezo wa Kundi la 3 Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, hilo likiwa bao lake la pili tu katika mechi 44 alizoichezea timu yake hiyo ya taifa, la kwanza akifunga dhidi ya Urusi kwenye mchezo wa kirafiki mwaka 2016
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KANTE AIFUNGIA BAO PEKEE UFARANSA YAILAZA URENO 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top