• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 19, 2020

  PHIL FODEN APIGA MBILI ENGLAND YAITANDIKA ICELAND 4-0 WEMBLEY


  Phil Foden akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili England dakika ya 80 na 84 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Iceland, mabao mengine yakifungwa na Declan Rice dakika ya 20 na Mason Mount dakika ya 24 kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley Jijini London 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PHIL FODEN APIGA MBILI ENGLAND YAITANDIKA ICELAND 4-0 WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top