• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 25, 2020

  GIROUD AFUNGA LA USHINDI CHELSEA YAWALAZA RENNES 1-0


  Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 90 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Rennes kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Roazhon Park. Chelsea ilitangulia kwa bao la Callum Hudson-Odoi dakika ya 22, kabla ya Serhou Guirassy kuisawazishia Rennes dakika ya 85
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GIROUD AFUNGA LA USHINDI CHELSEA YAWALAZA RENNES 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top