• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 22, 2020

  RONALDO APIGA MBILI JUVENTUS YAICHAPA CAGLIARI 2-0 SERIE A


  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Juventus mabao mawili dakika za 38 na 42 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Cagliari kwenye mchezo wa Serie A jana Uwanja wa Allianz Jijini Torino
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA MBILI JUVENTUS YAICHAPA CAGLIARI 2-0 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top