Kiungo mshambuliaji wa Tanzania, Simon Happygod Msuva akipimwa kama ana virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 kuelekea mechi ya Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 dhidi ya wenyeji, Tunisia leo kuanzia Saa 4:00 usiku Uwanja wa Hamadi Agrebi Olimpiki mjini Rades
Kipa Metacha Mnata wa Tanzania akipimwa COVID19 kuelekea mechi ya Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 dhidi ya wenyeji, Tunisia leo
0 comments:
Post a Comment