• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 18, 2020

  RUBEN DIAS AFUNGA LA USHINDI URENO YAILAZA CROATIA 3-2


  BEKI wa Manchester City, Ruben Dias akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Ureno bao la ushindi dakika ya 90 ikiwalaza wenyeji, Croatia 3-1 katika mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Poljud Jijini Split. Dias pia alifunga bao la kwanza la Ureno dakika ya 52, kabla ya Joao Felix kufunga la pili dakika ya 60, wakati mabao ya Mateo Kovacic dakika ya 29 na 65
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RUBEN DIAS AFUNGA LA USHINDI URENO YAILAZA CROATIA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top