• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 16, 2020

  RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIVYOWAPOKEA MABINGWA WA MICHUANO YA COSAFA U-17 WASICHANA


  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)m Wallace Karia akiwapokea wachezaji wa timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 walipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Afrika Kusini waliposhiriki na kutwaa Kombe la ubingwa wa michuano ya COSAFA 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIVYOWAPOKEA MABINGWA WA MICHUANO YA COSAFA U-17 WASICHANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top