• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 26, 2020

  SIMBA SC WAWASILI SALAMA ABUJA TAYARI KUWAVAA PLATEAU UNITED JUMAPILI NIGERIA

  KIKOSI cha wachezaji 24 kimewasili salama Abuja, Nigeria jana jioni kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United Jumapili

  Mchezo huo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika utaonyeshwa LIVE na Azam Sports 1 HD

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAWASILI SALAMA ABUJA TAYARI KUWAVAA PLATEAU UNITED JUMAPILI NIGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top