• HABARI MPYA

  Saturday, November 28, 2020

  NAMUNGO FC WAANZA VYEMA MICHUANO YA AFRIKA, YAWATANDIKA WASUDAN KUSINI 3-0 CHAMAZI


  TIMU ya Namungo FC imeanza vyema Kombe la Shirikisho baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Al Rabita ya Sudan Kusini usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji Dar es Salaam.
  Mabao ya Namungo FC katika mchezo huo wa kwanza wa Raundi ya Awali yamefungwa ma Mghana Steven Sey dakika ya 20 na 39 na Shiza Kichuya dakika ya 64 na timu hizo.
   zitarudiana wiki ijayo Sudan Kusini.
  x

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC WAANZA VYEMA MICHUANO YA AFRIKA, YAWATANDIKA WASUDAN KUSINI 3-0 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top