• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 16, 2020

  TAIFA STARS WALIVYOREJEA NCHINI JANA KUJIPANGA KWA MCHEZO WA MARUDIANO NA TUNISIA KESHO

  Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania wakati wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana kutoka Tunisia ambako Ijumaa walifungwa 1-0 na wenyeji wao hao katika mchezo wa Kundi J kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) Uwanja wa Uwanja wa Hamadi Agrebi Olimpiki mjini Rades. Timu hizo zitarudiana kesho Saa 4:00 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WALIVYOREJEA NCHINI JANA KUJIPANGA KWA MCHEZO WA MARUDIANO NA TUNISIA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top