• HABARI MPYA

  Thursday, November 26, 2020

  BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA AWATEMBELEA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAPILI

  Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk. Benson Bana ametembelea kambi ya Simba SC Jijini Abuja, Nigeria na kuzungumza na viongozi na wachezaji na kabla ya kukabidhiwa zawadi ya jezi mpya ambayo itatumika kwenye mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United Jumapili Uwanja wa Jos mjini humo
  Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk. Benson Bana akizungumza na kocha wa Simba SC, Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck 

  Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk. Benson Bana akizungumza na viongozi na wachezaji wa Simba leo Abuja

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA AWATEMBELEA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top