• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 12, 2020

  NGORONGORO HEROES WAIPIGA TENA SUDAN 2-1 KATIKA MCHEZO MWINGINE WA KIRAFIKI UHURU


  TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes jana imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Sudan katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Mechi ya kwanza Ngorongoro pia ilishinda 2-1 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NGORONGORO HEROES WAIPIGA TENA SUDAN 2-1 KATIKA MCHEZO MWINGINE WA KIRAFIKI UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top