• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 21, 2020

  CHELSEA YAICHAPA 2-0 NEWCASTLE UNITED NA KUPANDA KILELENI


  Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 65 kufuatia Federico Fernandez kujifunga dakika ya 10 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St James' Park. Ushindi unaipeleka The Blues kileleni japo kwa saa kadhaa, ikifikisha pointi 18 sawa na Leicester City
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA 2-0 NEWCASTLE UNITED NA KUPANDA KILELENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top