• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 28, 2020

  IBRAHIM CLASS AMSHINDA KWA POINTI MZAMBIA NA KUTETEA TAJI

  Refa akimuinua mkono Bondia Mtanzania, Ibrahim Class baada ya kumshinda kwa pointi, Mzambia Mzambia, Simon Ngoma kwenye pambano la Raundi 10 ukumbi wa PTA, Saba Saba na kufanikiwa kutetea mkanda wake wa GBC uzito wa Feather

  Ibrahim Class akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumshinda kwa pointi, Mzambia Mzambia, Simon Ngoma 
  Ibrahim Class akivalishwa mkanda wake baada ya ushindi wa jana ukumbi wa PTA, Saba Saba

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IBRAHIM CLASS AMSHINDA KWA POINTI MZAMBIA NA KUTETEA TAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top