• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 29, 2020

  MESSI AFUNGA BAO LA NNE BARCELONA YASHINDA 4-0 LA LIGA


  Lionel Messi akionyesha ishara ya kumuenzi Diego Maradona aliyefariki dunia Jumatano kwao, Argentina baada ya kuifungia Barcelona bao la nne dakika ya 73 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Osasuna kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Nou Camp. Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Martin Braithwaite dakika ya 29, Antoine Griezmann dakika ya 42 na Philippe Coutinho dakika ya 57 na kwa ushindi huo, Barca inafikisha pointi 14 baada ya kucheza mechi tisa na sasa inashika nafasi ya saba kwenye msimamo wa La Liga ikixidiwa pointi tisa na vinara, Real Sociedad
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA BAO LA NNE BARCELONA YASHINDA 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top