• HABARI MPYA

  Saturday, November 28, 2020

  KIKOSI CHA AZAM FC KILIVYOWASILI MUSOMA LEO TAYARI KUWAVAA BIASHARA UNITED JUMATATU KARUME

   

  Kipa wa Azam FC, David Mapigano  kisu baada ya kikosi cha Azam FC kuwasili mjini Musoma mkoani= Mara leo mchana tayari kwa mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Biashara United Jumatatu Uwanja wa Karume mjini humo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA AZAM FC KILIVYOWASILI MUSOMA LEO TAYARI KUWAVAA BIASHARA UNITED JUMATATU KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top