• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 27, 2020

  KIKAO CHA MCHAKATO WA MABADILIKO YA MFUMO WA UENDESHAJI NDANI YA YANGA SC CHAFANA LEO

   

  Wajumbe katika picha ya pamoja baada ya kikao cha kupitia ripoti ya mapendekezo ya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga yanayofanyika katika makao makuu ya La Liga mjini Madrid nchini Hispania.
  Kikao hicho kimehudhuriwa na; Mhandisi Hersi Said kutoka Yanga, Marco De Santis Meneja Miradi wa LaLiga Afrika, Juan Botella Meneja wa LaLiga Africa na Alvaro Paya Mwanamsafara wa LaLiga Tanzania na Rwanda,
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKAO CHA MCHAKATO WA MABADILIKO YA MFUMO WA UENDESHAJI NDANI YA YANGA SC CHAFANA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top