• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 19, 2020

  BODI YA LIGI YAUFUNGULIWA UWANJA WA JAMHURI WA DODOMA BAADA YA KUJIRIDHISHA SASA UPO SAFI

   

  BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeufungulia Uwanja wa Jamhuri uliopo Jijini Dodoma, kuendelea kutumika kwa mechi za Ligi Kuu ya Tanzania Bara kuanzia jana Novemba 18, 2020.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YAUFUNGULIWA UWANJA WA JAMHURI WA DODOMA BAADA YA KUJIRIDHISHA SASA UPO SAFI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top