• HABARI MPYA

  Wednesday, November 25, 2020

  RONALDO AFUNGA JUVENTUS YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 TORINO


  Cristiano Ronaldo akinyoosha kidole kwenye benchi lao baada ya kuifungia Juventus bao la kusawazisha dakika ya 35, kabla ya Alvaro Morata kufunga la ushindi dakika ya 90 ushei wakiwalaza Ferencvaros 2-1 kwenye mchezo wa Kundi G Lig ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz Jijini Torino. Bao pekee la Ferencvaros lilifungwa na 
  Myrto Uzuni dakika ya 19 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA JUVENTUS YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 TORINO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top