• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 11, 2020

  TANZANIA YATOA MCHEZAJI BORA IKIICHAPA ZIMBABWE 10-1 MICHUANO YA WASICHANA U17 COSACA AFRIKA KUSINI

  Mchezaji wa timu ya taifa ya wasichana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Shehat Mohamed akiwa ameshika tuzo ya mchezaji bora wa mechi dhidi ya Zimbabwe ya michuano ya COSAFA iliyochezwa jana. Katika mechi hiyo ambayo Tanzania ilishinda mabao 10-1, Shehat alifunga mabao mawili

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANIA YATOA MCHEZAJI BORA IKIICHAPA ZIMBABWE 10-1 MICHUANO YA WASICHANA U17 COSACA AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top