• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 16, 2020

  TUISILA KISINDA, YACOUBA NA SARPONG WOTE WAFUNGA YANGA SC YAICHAPA AFRICAN LYON 3-1 CHAMAZI


  YANGA SC jana imeshinda 3-1 dhidi ya African Lyon katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Yanga SC yalifungwa na Tuisila Kisinda dakika ya tatu, Yacouba Sogne dakika ya saba na Michael Sarpong dakika ya 28 kwa penalti, wakati la Lyon lilifungwa na Muharami Abdallah dakika ya 30

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TUISILA KISINDA, YACOUBA NA SARPONG WOTE WAFUNGA YANGA SC YAICHAPA AFRICAN LYON 3-1 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top