• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 11, 2020

  TAIFA STARS WAWASILI TUNISIA TAYARI KUWAKABILI WENYEJI WAO IJUMAA MECHI YA KUFUZU AFCON 2021

  KIKOSI cha Taifa Stars tayari kipo Tunisia baada ya kambi ya siku tatu Jijini Istanbul nchini Uturuki kujianda na mchezo wa Kundi J dhidi ya wenyeji wao hao, kufuzu AFCON ya 2021 Cameroon.

  Mechi itachezwa Ijumaa Uwanja wa Hamadi Agrebi Olimpiki mjini Rades, kabla ya timu hizo kurudiana Dar es Salaam siku nne baadaye na mechi zote zitaonyeshwa LIVE na chaneli ya ZBC 2 inayopatikana katika kisumbusi cha Azam TV.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WAWASILI TUNISIA TAYARI KUWAKABILI WENYEJI WAO IJUMAA MECHI YA KUFUZU AFCON 2021 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top