• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 12, 2020

  MAREFA WA ANGOLA KUCHEZESHA MECHI YA TAIFA STRAS NA TUNISIA KESHO KUFUZU AFCON 2021

   
  MAREFA kutoka Angola watachezesha mechi ya Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 nchini Cameroon baina ya wenyeji, Tunisia na Tanzania kesho kuanzia Saa 4:00 usiku Uwanja wa Hamadi Agrebi Olimpiki mjini Rades.

   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAREFA WA ANGOLA KUCHEZESHA MECHI YA TAIFA STRAS NA TUNISIA KESHO KUFUZU AFCON 2021 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top