• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 16, 2020

  JORGINHO AFUGA ITALIA YAICHAPA POLAND 2-0 LIGI YA ULAYA


  Jorginho akiifungia bao la kwanza Italia dakika ya 27 kwa penalti kabla ya Domenico Berardi kufunga la pili dakika ya  83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Poland kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana  Uwanja wa MAPEI - Citta del Tricolore
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JORGINHO AFUGA ITALIA YAICHAPA POLAND 2-0 LIGI YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top