• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 12, 2020

  UJERUMANI YAICHAPA JAMHURI YA CZECH 1-0 MECHI YA KIRAFIKI LEIPZIG

   

  Mshambuliaji wa Benfica, Luca Waldschmidt akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Ujerumani bao pekee dakika ya 13 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Red Bull Arena Jijini Leipzig 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAICHAPA JAMHURI YA CZECH 1-0 MECHI YA KIRAFIKI LEIPZIG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top